UDSM yapiga mkwara, BDL kupingwa viwanja viwili
JOTO la ufunguzi wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) kati ya UDSM Outsiders na JKT linazidi kupanda kutokana na kumbukumbu ya ushindani uliotokea katika fainali ya mashindano hayo mwaka jana. Katika fainali hiyo JKT iliifumua UDSM katika michezo 3-1 ambapo katika mchezo wa kwanza JKT ilishinda pointi 67-62, ule pili UDSM…