Wafanyabiashara wanaotumia Bandari ya Karema hii inawahusu
Dodoma. Mbunge wa Momba (CCM), Condester Sichalwe ameibana Serikali akitaka kujua ni lini itaanza ujenzi wa barabara Moba hadi Lubumbashi (DRC) ambayo amesema ni muhimu na tegemeo la wafanyabiashara. Sichalwe leo Jumanne Mei 6, 2025 amehoji akitaka kujua mkakati gani unafanyika kwa makusudi ili kuondoa usumbufu ambao umekuwa ukiwapata wafanyabiashara wanapopitia Zambia, akisema imekuwa ni…