CCM: Tumeupokea ushauri wa Warioba lakini…
Morogoro. Siku mbili baada ya Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba kushauri kuweka meza ya mazungumzo kati ya Serikali, Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chadema ili kumalize tofauti zao kabla ya uchaguzi, CCM kimesema kinaupokea ushauri huo lakini hakiwezi kuutumia kwa sasa. Ushauri wa Jaji Warioba umepokelewa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa…