NDEGE TAUSI WAVUTIA WATALII WA NDANI HIFADHI YA TAIFA SAA NANE
Na Pamela Mollel,Mwanza Ndege Tausi ni miongoni mwa vivutio vya utalii vinavyochangia ongezeko kubwa la watalii wa ndani katika Hifadhi ya Taifa kisiwa cha saa nane iliyopo jijini Mwanza Tausi ni jamii ya ndege kama Kanga na pia kuna zaidi ya aina kumi zinazopatikana katika bara la Africa Wamejizolea umaarufu mkubwa kwa muonekano wao hasa…