TANGA YETU NA BODI YA FILAMU WATOA MAFUNZO KWA WAANDAAJI WA FILAMU MKOANI TANGA
Na Oscar Assenga, Tanga Tanga Yetu kupitia mradi wa Fursa kwa Vijana (GOYN TANGA ) kwa kushirikiana na Bodi ya Filamu Tanzania wametoa mafunzo kwa ajili ya utengenezaji wa filamu kwa wasanii mkoani Tanga ili waweze kuwa waandaaji wazuri ambao watafanya vizuri kupitia tasnia hiyo. Akizungumza wakati wa mafunzo hayo Afisa Maendeleo ya Filamu kutoka…