Mastaa KenGold wapewa mchongo | Mwanaspoti
KOCHA wa KenGold, Omary Kapilima amesema ingawa hakuna kitu kitakachobadilika katika mechi tatu zilizosalia kumaliza msimu huu, lakini ni fursa kwa wachezaji kuonyesha viwango bora. KenGold ipo mkiani mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 16, ikitokea ikashinda mechi tatu dhidi ya Pamba Jiji, Simba na Namungo itafikisha pointi 25 ambazo haziwezi kubadilisha…