Kriketi T20: Yadav ang’ara Tanzania ikiifunga Botswana
KIJANA mdogo wa Kitanzania, Arun Yadav ndiye aliyekuwa nyota wa mchezo wakati Tanzania ikianza vyema michuano ya kufuzu Kombe la Dunia kwa Kriketi ya mizunguko 20 (T20) kwa ushindi wa wiketi 7 dhidi ya Botswana mjini Harare, Zimbabwe mwishoni mwa juma. Kwa ujasiri mkubwa, kijana Yadav alitengeneza mikimbio 62 kutokana na mipira 32 na kuipelekea…