Mchengerwa akutana na zomeazomea Vunjo, amkingia kifua Dk Kimei
Moshi. Katika hali ambayo haikutarajiwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amejikuta katikati ya zomea zomea katika Jimbo la Vunjo linaloongozwa na Dk Charles Kimei. Hali hiyo ilijitokeza leo Mei 4,2025 kata ya Kahe wakati waziri huyo akizungumza na wananchi ikiwa ni sehemu ya ziara…