Dabi ya Kariakoo yapangiwa tarehe, kupigwa Juni 15 Kwa Mkapa
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepanga mechi ya mzunguko wa pili ya Ligi Kuu baina ya Yanga na Simba ‘Kariakoo Derby’ kuchezwa Jumapili Juni 15, 2025. Ratiba hiyo imeanikwa saa kadhaa baada ya uongozi wa Yanga kutangaza kutokuwa tayari kucheza mchezo huo ambao awali ulikuwa ufanyike Machi 8 mwaka huu. Mechi ya Machi 8…