MBUNGE WA MSALALA AKABIDHI BAISKELI KWA WENYEVITI WA VIJIJI

Na Mwandishi Wetu, Malunde 1 blog Mbunge wa Jimbo la Msalala mkoani Shinyanga, Mhe. Iddi Kassim, ametoa baiskeli 92 kwa wenyeviti wa vijiji vyote vya Halmashauri ya Msalala kwa lengo la kuwawezesha kufuatilia kwa ukaribu utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao. Baiskeli hizo zenye thamani ya shilingi milioni 23 zimekabidhiwa rasmi katika hafla…

Read More

’Uchawa’ bomu linalosubiri kulipuka | Mwananchi

Dar es Salaam. Ingawa vijana wamegeukia ‘uchawa’ kama njia ya kipato, wadau wametahadharisha tabia hiyo wakisema ni hatari kwa ufanisi wa viongozi, thamani ya elimu na hata uchumi wa Taifa. Kwa mujibu wa wadau hao, kwa hali ilivyofikia jamii itaamini uchawa ndio njia ya kipato na hivyo watu wataacha kijibidiisha katika kazi, badala yake watawekeza…

Read More

John Noble avunja ukimya ishu ya Fountain Gate

KIPA wa Fountain Gate raia wa Nigeria, John Noble amevunja ukimya akithibitisha ni kweli kwa sasa ameondoka ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya kwenda kupumzika kwa wiki kadhaa, ingawa atarejea ili kujua hatima yake kama ataendelea kusalia au atavunja rasmi mkataba wake. Hatua ya kipa huyo kuondoka kikosini imejiri baada ya makosa mawili aliyofanya…

Read More