Pointi 15 zamliza Omary Madenge
KITENDO cha Biashara United kupokwa pointi 15 na Bodi ya Ligi Kuu (TPLB), kimemliza kocha wa kikosi hicho, Omary Madenge na kukiri ingekuwa ni miujiza kubakia Ligi ya Championship msimu ujao, licha ya juhudi kubwa zilizofanyika. Kikosi hicho kilichoshuka daraja msimu wa 2021-2022, kilikatwa pointi hizo kutokana na kushindwa kufika katika mchezo dhidi ya Mbeya…