Wanakimanumanu waitana Mkwakwani | Mwanaspoti

WAKATI African Sports ikiwa katika presha ya kushuka daraja, viongozi na benchi la ufundi wamewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi katika mechi ya mwisho na Transit Camp, itakayopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, jijini Tanga, Mei 10. Ukiachana na Biashara United iliyoshuka daraja baada ya sare ya bao 1-1, dhidi ya Geita Gold, kwa sasa ni timu…

Read More

Kisinda ampa wakati mgumu Waziri JR Iraq

WAKATI Simon Msuva akiendelea kukiwasha Ligi Kuu ya Iraq akiwa na Al Talaba, Mtanzania mwenzake, Wazir Jr Shentembo anayekipiga Al Mina’a mambo yanaonekana ni magumu tangu alipojiunga na chama hilo. Msuva ambaye amefunga mabao 12 kwenye ligi hiyo maarufu ‘Iraq Stars League’ amekuwa akipata nafasi ya kuanza kwenye kikosi hicho mara kwa mara wakati Wazir…

Read More

Unafahamu masaibu anayopitia mwanao na hakuambii wewe mzazi?

Kama sehemu ya wajibu wangu wa kitaaluma, huwa ninaandaa, kuendesha na kutathmini mafunzo ya ulinzi wa mtoto kwa walimu, wanafunzi na wazazi kwenye shule mbalimbali. Nimeendesha mafunzo hayo kwa shule nyingi, hususan za binafsi na zile zinazoendeshwa na mashirika binafsi na kidini. Hivi karibuni nilipata bahati hiyo kwenye shule kubwa inayoendeshwa na shirika la kitawa….

Read More

Pearl of Africa Prince Nyerere, Nasser watua kwa Museven

WATANZANIA Prince Charles Nyerere na Yassin Nasser wanatarajiwa kushiriki katika mbio za magari zitakazofanyika Mbarara, Uganda kusaka ubingwa wa Afrika, ikiwa ni mara ya kwanza kuchezwa  Magharibi mwa Uganda, karibu na eneo ambalo Rais wa nchi hiyo, Yoweri Museven anatokea. Tayari madereva kutoka Rwanda, Kenya, Ethiopia, Tanzania na wenyeji Uganda wameanza kuwasili mjini Mbarara, kwa…

Read More

Wanafunzi 100 walazwa baada ya kula chakula chenye nyoka

India. Zaidi ya wanafunzi 100 wamelazwa hospitalini baada ya kula chakula kilichodaiwa kuwa na nyoka mfu mwishoni mwa juma, wakiwa shuleni nchini India. Kwa mujibu wa CBS News, Tume ya Haki za Kibinadamu ya India (NHRC) imesema inaendelea kuchunguza taarifa hiyo ingawa inaelezwa mpishi aliendelea kuwapatia chakula wanafunzi hata baada ya kumtoa nyoka huyo. Tukio…

Read More

Masoud ana mawili Chama la Wana

BAADA ya Stand United ‘Chama la Wana’, kushindwa kupanda Ligi Kuu Bara msimu ujao moja kwa moja, kocha wa timu hiyo, Juma Masoud amesema kwa sasa ana kazi kubwa ya kupambania maeneo mawili muhimu, beki na ushambuliaji. Sare ya Stand United ya bao 1-1, dhidi ya Polisi Tanzania, imeifanya timu hiyo kujihakikishia nafasi ya kucheza…

Read More

Mume wangu kanifedhehesha, nidai talaka?

Anti habari za kazi, hongera kwa kujibu maswali yetu na kutupa ufafanuzi unaoponya. Leo nina changamoto ambayo nahisi itanipasua kifua. Mume wangu amenihisi nina uhusiano na mwanamume, akamtafuta mke wa huyu bwana na kumueleza kuhusu hisia (kuwa natoka na huyo mwanamume kimapenzi) juu yangu. Kibaya zaidi huyo mwanamke bila kufanya uchunguzi kaamini na wakashirikiana kuja…

Read More

Samatta bado moja kurudi Ligi ya Mabingwa Ulaya

NAHODHA wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta anasubiri ushindi wa mechi moja ili kuweka rekodi ya kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya pili katika historia ya maisha yake ya soka. Chama la Samatta, PAOK linahitaji ushindi wa pointi tatu kwenye mechi mbili zilizosalia ili kushiriki michuano hiyo mikubwa na…

Read More

Madhara ya dhambi kwenye maisha yako

Bwana yesu asifiwe, naitwa Mwalimu George Mbwambo kutoka Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania- Usharika wa Buza, Dar es Salaam. Nikukaribishe katika mahubiri ya siku ya leo. 1 Yohana 3:4; Kila atendaye dhambi afanya uasi kwa kuwa dhambi ni uasi, unaposoma katika mistari hii unaona Biblia ikizungumzia kuwa dhambi ni uasi, yaani kwenda kinyume na…

Read More