HAKIELIMU YAPENDEKEZA ONGEZEKO LA TRILIONI 2.08 KATIKA BAJETI SEKTA YA ELIMU
NA EMMANUEL MBATILO, TAASISI ya HakiElimu imeishauri Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuhakikisha angalau asilimia 15 ya bajeti ya taifa ya 2025/26 inatengwa kwajili ya sekta ya elimu ambapo wanatarajia ongezeko la shilingi trilioni 2.08 katika bajeti ya sekta ya elimu kutoka shilingi trilioni 6.17 ya mwaka 2024/25 hadi kufikia shilingi trilioni…