TUONGEE KIUME: Kuna njia milioni za kuipata kumi, tafuta yako
Tano zidisha kwa mbili ni kumi, mbili zidisha kwa tano ni kumi pia. Wakati hamsini gawanya kwa tano ni kumi, na hata mia moja gawanya kwa hamsini ni kumi. Unaona, kila hesabu tunayopiga jibu lake linarudi kwenye kumi. Ina maana hakuna njia moja ya kuipata kumi, unaweza kukokotoa kwa namna tofauti tofauti na bado jibu…