’Uchawa’ bomu linalosubiri kulipuka | Mwananchi
Dar es Salaam. Ingawa vijana wamegeukia ‘uchawa’ kama njia ya kipato, wadau wametahadharisha tabia hiyo wakisema ni hatari kwa ufanisi wa viongozi, thamani ya elimu na hata uchumi wa Taifa. Kwa mujibu wa wadau hao, kwa hali ilivyofikia jamii itaamini uchawa ndio njia ya kipato na hivyo watu wataacha kijibidiisha katika kazi, badala yake watawekeza…