Azam FC yashtukia kitu kwa Nizar
WAKATI ikielezwa kuwa, Yanga iko katika mazungumzo na nyota wa JKU, Abubakar Nizar Othman, mabosi wa Azam FC wameweka wazi nyota huyo ni mali yao na hauzwi, hivyo wanaomtaka wasahau kuhusiana na hilo na mwishoni wa msimu huu watamrudisha. Ipo Hivi. Mara baada ya mechi ya fainali ya Kombe la Muungano, iliyopigwa kwenye Uwanja wa…