Unaogopa kumwambia mwenza ananuka kwapa, kinywa?
Umewahi kuwa kwenye uhusiano na mtu anayetoa harufu mbaya ya kinywa au mwili? Mara nyingi watu wanaokutana na adha hizo kwa wenza wao, hujikuta wakipitia wakati mgumu, kwa kuogopa kusema wakihofia maneno yao yatachukuliwaje. Licha ya kuwepo kwa baadhi ya wanaovumilia harufu hizo, pia wapo ambao hufikia hatua ya kukimbia uhusiano wao kwa kuchoshwa na…