KenGold yamliza Cabaye Bara | Mwanaspoti
KIUNGO wa KenGold, Abdallah Masoud ‘Cabaye’ amefunguka kuhusu kuumizwa kwa kitendo cha timu hiyo kushuka daraja, licha ya kubakiwa na michezo mitatu kabla ya kumalizika kwa msimu huu wa 2024/25. Kengold iliyopanda daraja msimu huu na kushuka kwa kuvuna pointi 16 tu katika mechi 27, baada ya kupoteza mechi nne mfululizo zilizopita mbele ya Azam…