Tunakushukuru Rais Dkt. Samia kwa nyongeza ya Mishahara- Naibu Waziri Mwanaidi
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Khamis ametoa shukurani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu kwa nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma ikiwa ni kuongeza chachu katika utekelezaji wa majukumu yao na maendeleo kwa Taifa. Naibu Waziri Mwanaidi ameyasema hayo…