KATIBU MKUU KIONGOZI AZINDUWA MWEZI WA ELIMU KWA SHUNGULI ZA WAKAGUZI WA NDANI
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Dkt. Moses Kusiluka, akizungumza na maafisa wa Taasisi za Umma na Binafsi kwenye kikao cha mwezi kilichofanika jijini Dodoma Mei 2, 2025. RAIS wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania, Dk. Zelia Njeza (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. Moses Kusiluka baada ya kufungua Mkutano wa Mwezi wa…