Israeli yatishia kuwaua viongozi wa Hamas waliosalia Qatar – Global Publishers
Last updated Sep 11, 2025 Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, ametishia kuwaua tena viongozi wa Hamas walioko nchini Qatar iwapo Doha haitawafukuza maafisa hao, na kusababisha majibu makali kutoka kwa serikali ya Qatar. Pamoja na ukosoaji huo wa kimataifa kuhusu shambulio lililotokea katika mji mkuu wa Qatar inaarifiwa kuwa Netanyahu hajatetereshwa kwa namna…