Inter Zanzibar, Tekeleza zashuka rasmi ZPL

SAFARI ya Inter Zanzibar na Tekeleza katika Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), imefikia tamati jioni leo baada kufungwa mabao 4-0 na KVZ, huku Tekeleza nayo ikishuka daraja kwa kufungwa huko Pemba. Timu hizo ni miiongoni mwa nne zilizopanda Ligi Kuu msimu huu, sambamba na vinara wa ligi hiyo kwa sasa, Mwembe Makumbi na Junguni United. Inter…

Read More

Nida yakunjua makucha vitambulisho feki, wamiliki wa steshenari watajwa

Dar es Salaam. Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imewaonya wamiliki na watoa huduma wa ‘steshenari’ wanaotengeneza na kuchapisha Vitambulisho vya Taifa ikieleza kufanya hivyo ni kosa kisheria. Kwa mujibu wa Msemaji wa Nida, Geofrey Tengeneza kumekuwa na ongezeko la watu wenye namba za utambulisho (NIN) kutengenezewa vitambulisho bandia, ambavyo imebainika katika uchunguzi hutengenezwa kwenye…

Read More

Biteko: Sekta ya nishati ipo salama chini ya Rais Samia

Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema ni lazima Watanzania wapate huduma bora ya umeme huku akimtaja Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kwa kuwa kinara katika kusukuma kufikiwa kwa malengo hayo. Dk Biteko amesema azma ya Serikali ni kuhakikisha Tanzania wanapata huduma bora katika sekta mbalimbali za kijamii…

Read More

DK.OMARI ATAKA WADAU KUTUMIA FURSA KWENYE ZAO LA MPUNGA

Na Mwandishi Wetu WADAU wa zao la Mpunga nchini wametakiwa kuzichangamkia fursa zipatikanazo kwenye mnyororo mzima wa thamani kwenye zao la mpunga. Ushauri huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Maendeleo ya Mazao na Usalama wa Chakula, Dkt. Hussein Mohamed Omar wakati akifunga Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Zao la Mpunga uliofanyika Hoteli ya…

Read More

Misukosuko anayopitia Mdude Nyagali | Mwananchi

Mbeya/Dar. Kwa mara ya sita tangu mwaka 2016, mwanaharakati Mdude Nyagali, amejikuta kwenye misukosuko, safari hii ikidaiwa watu waliojitambulisha askari polisi wamevamia nyumbani kwake, wakampiga na kumkamata. Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga leo Ijumaa Mei 2, 2025 kupitia taarifa kwa umma amekanusha taarifa hizo zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikilihusisha…

Read More