Zimamoto, Uhamiaji zashindwa kutambiana | Mwanaspoti
LIGI Kuu ya Zanzibar, imerejea tena jioni ya leo Ijumaa, ikishuhudiwa timu za Zimamoto na Uhamiaji zikishindwa kutambiana kwa kutoka sare ya 1-1 katika mechi kali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Mao Zedong, mjini Unguja. Mechi hiyo ilikuwa ni ya raundi ya 23 baada ya kusimama kupisha michuano ya Kombe la Muungano, ambapo Zimamoto ilitolewa nisu…