MLANDEGE | Mwanaspoti
BAADA ya kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (ZFF Cup), Mlandege inarejea tena uwanjani leo katika mwendelezo wa mechi za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) na jana Ijumaa iliikaribisha Mwembe Makumbi inayoongoza msimamo wa ligi hiyo. Mlandege iliitoa Kikungwi Stars kwa penalti 5-4 baada ya dakika 90 kumalizika kwa suluhu na kuungana na KMKM, Mafunzo…