Wahukumiwa kifo uvamizi CRDB, DCB na mauaji ya walinzi Suma JKT
Dar es Salaam. Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam imewahukumu adhabu ya kifo, watu wawili waliovamia benki za CRDB na DCB jijini Dar es Salaam na kuua watu watatu kwa mtutu wa bunduki. Tukio hilo la mauaji lilitokea saa 8:40 mchana wa Desemba 8, 2015 katika eneo la Chanika wilayani Ilala, Dar es…