Muuguzi auawa kwa kuchomwa kisu, muuaji adaiwa kujinyonga
Bunda. Muuguzi wa Zahanati ya Kijiji cha Malembeka kilichopo wilayani Bunda, Mkoa wa Mara, Zawadi Kazi (31) amefariki dunia baada ya kuchomwa na kisu sehemu mbalimbali za mwili wake na mtu anayedhaniwa kuwa ni mpenzi wake kwa kile kinachelezwa ni ugomvi wa kimapenzi. Baada ya kufanya tukio hilo mtuhumiwa huyo alikimbilia kusikojulikana hata hivyo mwili…