Mastaa wanne wapishana Yanga | Mwanaspoti
KITAKWIMU ni rasmi kuwa, Yanga imeshafuzu Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao ikiwa imesaliwa na mechi nne mkononi. Hiyo imewapa kiburi cha kuanza harakati za kufumua kikosi na kupanga hesabu mpya tayari kwa michuano hiyo mikubwa inayotabiriwa kuwa na presha kubwa kwao msimu ujao. Mwanaspoti linajua, mastaa wanne wakiwamo viungo wawili Salum Abubakar ‘Sure Boy’…