Nyota Tabora United amzimia Mpanzu
BEKI wa zamani wa Polisi Tanzania na Yanga anayekipiga kwa sasa Tabora United, Yassin Mustafa amemtaja Elie Mpanzu, ndiye winga hatari zaidi katika Ligi Kuu Bara na ni Luis Miquissone mpya wa kikosi cha Simba. Mpanzu alijiunga na Simba dirisha dogo la usajili na tayari ameanza kuonyesha ubora katika kikosi hicho akiingia moja kwa moja…