Mligo asahau ya nyuma ajikite na mpira Simba
ANTHONY Mligo ni miongoni mwa wachezaji waliofanya vizuri sana katika kilele cha Tamasha la Simba maarufu kama Simba Day, juzi Jumatano. Ni beki wa kushoto ambaye Simba imesajili kutokea Namungo FC baada ya kuondokewa na wachezaji wawili wa nafasi hiyo, Mohamed Hussein na Valentine Nouma. Mligo alipandisha vyema timu mbele na muda ambao alitakiwa kulinda…