KATIBU MKUU LUHEMEJA AHIMIZA UMOJA AFRIKA KUKABILI ATHARI ZA MAZINGIRA
Washiriki wakifuatilia Mkutano wa Kundi la Majadiliano la Afrika (AGN) tarehe 30 Aprili 2025 katika Ukumbi wa Hotel Verde Mtoni, Zanzibar. Mwenyekiti wa Mkutano wa Kundi la Majadiliano la Afrika (AGN) Dkt. Richard Muyungi akizungumza wakati wa hafla ya kufunga mkutano huo leo tarehe 2 30 Aprili 2025 katika Ukumbi wa Hotel Verde Mtoni, Zanzibar….