CCM yalaani shambulio la Padri Kitima, Polisi yaagizwa
Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimelaani shambulio dhidi ya na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima kikisema ni tukio la kihalifu. Chama hicho kimekwenda mbali na kutoa maagizo kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha wahusika wote wa shambulio dhidi ya kiongozi huyo wa dini wanatiwa nguvuni. Kwa sasa,…