Rais Samia atangaza kuongeza mishahara kwa wafanyakazi
Katika kuboresha hali na ustawi wa wafanyakazi nchini, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza kuongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Nyongeza hiyo itaanza kutumika Julai 2025 kwa kima cha chini kutoka Sh370,000 hadi Sh500,000 huku akitoa tumaini kwa ngazi nyingine pia zitapanda kwa kiwango kizuri kwa jinsi…