ANAYEDAIWA KUMJERUHI PADRI KITIMA AKAMATWA

               ::::::  Jeshi la Polisi lina mshikilia mtu.mmoja kwa tuhuma za kumjeruhi Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Padri Charles Kitima. Padri Kitima anadaiwa kujeruhiwa na watu wawili akitoka maliwatoni muda mfupi baada ya kumaliza kikao na viongozi wa dini.  Taarifa ya Jeshi la Polisu kwa vyombo vya habati…

Read More

Simu, mitandao ya kijamii ilivyo hatari kwa akili yako

Dar es Salaam. Ingawa simu za mkononi na mitandao ya kijamii ni nyenzo muhimu za kupata taarifa, kwa upande mwingine, zinakuweka katika hatari ya kupata msongo wa mawazo, upweke, matatizo ya umakini na hatimaye changamoto ya afya ya akili. Kwa taarifa yako, kadri unavyohisi raha ya kuperuzi katika mitandao ya kijamii kupindukia, ndivyo unavyojiweka karibu…

Read More

Padri Kitima ashambuliwa, Polisi yamdaka mmoja

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia Rauli Mahabi kwa tuhuma za kumjeruhiwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima. Hatua ya kushikiliwa kwa Mahabi mkazi wa Kurasini, Dar es Salaam, inatokana na taarifa za kushambuliwa kwa Padri Kitima iliyoanza kusambaa katika mitandao ya…

Read More

Tahadhari ya UN juu ya kuongezeka kwa shida nchini Sudan wakati njaa inaenea na vurugu zinaongezeka – maswala ya ulimwengu

Katika a taarifa iliyotolewa na msemaji wake Jumatano, Un Katibu Mkuu António Guterres Alisema “alishtushwa” na hali mbaya huko Darfur Kaskaziniambapo mji mkuu wa mkoa, El Fasher, uko chini ya shambulio kali na endelevu. Shambulio hilo linakuja wiki mbili tu baadaye Mashambulio mabaya kwenye kambi za karibu za Zamzam na Abu Shoukambapo mamia ya raia,…

Read More

Hamsini na kubomoka – maswala ya ulimwengu

Maoni na Zikora Ibeh (Lagos, Nigeria) Jumatano, Aprili 30, 2025 Huduma ya waandishi wa habari LAGOS, Nigeria, Aprili 30 (IPS) – nusu karne baada ya Ecowas kuahidi amani na ustawi, majimbo matatu ya mapumziko yanajaribu mshikamano wa Afrika Magharibi, na kusababisha vita vya biashara. Isipokuwa juhudi za kidiplomasia za dakika ya mwisho zinaweza kuokoa siku,…

Read More

EWURA YATOA LESENI 580 ZA BIASHARA YA MAFUTA NCHINI

               ::::::::  Hadi Machi 2025, EWURA ilitoa leseni 580 za biashara ya mafuta ambapo kati ya hizo, leseni 204 zilikuwa mpya na 376 zilikuwa zimehuishwa. Aidha, Serikali kupitia EWURA imeendelea kusimamia mkondo wa kati na chini wa Sekta ndogo ya mafuta ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika, usalama na ubora…

Read More

Meridianbet Imetoa Msaada Kwa Wanawake Wajawazito Sinza

KATIKA kuendeleza dhamira yake ya kuchangia ustawi wa jamii na kugusa maisha ya Watanzania, kampuni inayoongoza kwa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni, Meridianbet, imefanya zoezi la kugawa vifaa vya kujifungulia (Maternity Kits) pamoja na diapers kwa watu wazima (Adult Diapers) kwa kina mama waliojifungua katika Hospitali ya Palestina, iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam….

Read More