MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ATEMBELEA BANDA LA TCAA KATIKA MAONESHO YA MEI MOSI KIZIMKAZI, UNGUJA
Katika kuadhimisha Maonesho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla, ametembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA). Akiwa banda la TCAA , Mheshimiwa Hemed alipata maelezo kuhusu huduma na majukumu ya TCAA pamoja na miradi inayoitekeleza kutoka kwa Meneja wa…