RAIS SAMIA MGENI RASMI MIAKA 20 YA CHUO KIKUU CHA KIISLAMU MOROGORO.
::::::: CHUO Kikuu cha Kiislamu Morogoro, kinatarajia kuadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwake kwa kumshukuru na kutambua mchango mkubwa uliotolewa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa. Kilele cha maadhimisho hayo yanatarajiwa kuwa Juni 20, 2025 na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan. Hayo yamesemwa leo April 28, 2025…