Rais Samia ateua viongozi wanne
Dodoma. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuimarisha taasisi za umma kwa kufanya uteuzi wa viongozi wanne wa mashirika ya Serikali. Tarifa iliyotolewa leo Jumanne, Aprili 29, 2025 na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu ikimnukuu Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka imebainisha walioteuliwa ni wenyeviti wa bodi. Rais Samia amemteuwa Dk Fatma Kassim…