JKU inautaka ubingwa Muungano | Mwanaspoti

JKU kutoka Unguja imetinga fainali ya Kombe la Muungano baada ya kuifunga Azam mabao 2-1, huku kocha wa timu hiyo, Haji Ali Nuhu akisema wanataka kubeba ubingwa. Akizungumza na Mwanaspoti, kocha huyo alisema ushindi dhidi ya Azam ni mkakati waliojiwekea ili kutinga fainali. Alisema ingawa mchezo unaofuata wa fainali utakuwa mgumu zaidi, lakini kutokana na…

Read More

Huyu ndiye Rosalynn Mkurugenzi mpya wa Mwananchi

Dar es Salaam. Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), ambayo ni kampuni tanzu ya Nation Media Group (NMG), imetangaza uteuzi wa Rosalynn Mndolwa-Mworia kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa MCL. Rosalynn mwenye uzoefu wa miaka 23 wa kuziongoza sekta za mawasiliano ya simu, usafirishaji, huduma za kifedha na bima, anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bakari Machumu…

Read More

Nini kinachoisumbua Azam FC? | Mwanaspoti

NI msimu ambao mashabiki wa Azam FC wanataka umalizike haraka. Kuanzia mapema katika Ngao ya Jamii hadi sasa ligi ikielekea ukingoni, kila tumaini limekuwa kama jua la asubuhi lililofunikwa na mawingu. Msimu wa 2024/25 umegeuka kuwa ‘mwaka wa shetani’ kwa matajiri wa Chamazi waliowekeza mamilioni, lakini wameambulia patupu kila shindano. Katika fainali ya Ngao ya…

Read More

Simba V RS Berkane yanukia Kwa Mkapa

Kama agizo la serikali litafanyiwa kazi kwa wakati, mechi ya marudiano ya hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Simba na RS Berkane itapigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Mei 25, 2025. Hiyo ni baada ya naibu waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ kumuagiza mkandarasi anayesimamia ukarabati…

Read More

Waajiri wakumbushwa kujiweka tayari mabadiliko ya teknolojia

Dar es Salaam. Serikali imewakumbusha waajiri nchini kujiweka tayari kupokea mabadiliko ya teknolojia huku wakichukua tahadhari dhidi ya athari zake hasi zinazoweza kutokea ikiwemo upotevu wa baadhi ya fursa za ajira. Wito huo umetolewa Aprili 28, 2025 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete wakati akiwaongoza…

Read More

Serikali yakusanya mabilioni biashara ya mtandao

Dodoma. Kwa kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025, Serikali imekusanya kiasi cha Sh192.78 bilioni kutoka kwenye biashara mtandao ambayo inajumuisha michezo ya kubahatisha  ya mtandaoni. Takwimu hizo zimetolewa leo Jumanne Aprili 29, 2025 na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe ambaye ameliambia Bunge Serikali inatambua biashara mtandao. Kigahe alikuwa akijibu swali la…

Read More

Gazans wanakabiliwa na shida ya njaa kama blockade ya misaada inakaribia miezi miwili – maswala ya ulimwengu

Wakala wote wa UN ambao husaidia wakimbizi wa Palestina, Unrwana mpango wa chakula duniani (WFP) Ripoti kwamba hisa za chakula sasa zimechoka, hata kama vifaa vya msaada wa kuokoa maisha kwenye misalaba ya mpaka ikisubiri kuletwa. Wanadamu wanaendelea kuonya kwamba njaa inaenea na kuongezeka kwa nguvu, huku kukiwa na blockage, vikwazo vya kupata, shughuli za…

Read More