Kardinali Becciu ajiondoa rasmi kwenye uchaguzi wa Papa mpya
Vatican. Mwadhama Kardinali Giovanni Angelo Becciu wa Sardegna hatashiriki katika mkutano wa uchaguzi wa Papa mpya (Conclave) unaotarajiwa kuanza Jumatano, Mei 7, 2025, huko Vatican. Kardinali Becciu ametangaza uamuzi huo kwa kuthibitisha kwamba licha ya kuamini hana hatia yoyote, ameamua kutii utashi wa Baba Mtakatifu Francis kwa ajili ya masilahi ya Kanisa. “Nikiwa na moyo…