ENVAITA YAJA NA SULUHISHO LA KADI ZA MIALIKO
::::::: Na Aziza Masoud,Dar es Salaam JAMII imetakiwa kubadilika na kuacha kutumia njia za kizamani zakualika watu katika matukio mbalimbali badala yake watumie njia zakidigitali ili kuokoa muda na kupunguza usumbufu. Akizungumza jana Meneja wa Mawasiliano wa Envaita Praygod Mushi alisema utumiaji wa mialiko ya kadi kwa njia ya kidigitali unaokoa mambo mengi japokuwa watu …