WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA VIONGOZI MBALIMBALI KUTEMBELEA BANDA ATCL MAONESHO YA ACI AFRICA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) Mhandisi Peter Ulanga wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) unaofanyika jijini Arusha. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akimsikiliza Rais wa ACI Africa…