Lusajo: Safari hii, hatutawaangusha | Mwanaspoti
NAHODHA wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda amesema wanajua wana kazi kubwa ya kufanya msimu huu kuhakikisha wanafikia malengo, huku akimtaja kocha Florent Ibenge ni wa viwango na hawapaswi kumuangusha. Mwaikenda aliyemaliza msimu uliopita na mabao saba na asisti tatu, aliliambia Mwanaspoti, wachezaji wapo tayari kwa ushindani na kila mmoja anajua kazi kubwa iliyopo mbele yao….