Mamia waipokea Simba uwanja wa ndege mvua ikinyesha
MAMIA ya mashabiki wa Simba wamejitokeza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), usiku huu kuwapokea wachezaji waliorejea kutoka Afrika Kusini baada ya kuandika historia mpya kwenye soka la Afrika. Kikosi cha Simba kimerudi nchini kikiwa na furaha kubwa baada ya kufuzu kwa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya…