RAIS DK.SAMIA AZINDUA BENKI YA USHIRIKA JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania yaliyopo Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho ya masuala ya kilimo nje ya Ukumbi wa Mikutano Jakaya…

Read More

Wabunge walia gharama za kuunganisha umeme

Dodoma. Wabunge wameishauri Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), kupitia upya mwongozo wa gharama za kuunganisha umeme ili kuweka unafuu kwa wananchi. Wamesema hayo leo Jumatatu Aprili 28, 2025 wakati wakichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2025/26. Mbunge wa Kigoma Mjini, (CCM), Kilumbe…

Read More

Mpango wa Taifa wa Nishati wapewa kipaumbele 2025/26

Dodoma. Wizara ya Nishati imetaja vipaumbele vyake kwa mwaka wa fedha 2025/26, vinavyohusisha kuanza kwa utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Nishati wa mwaka 2025/30. Mpango huo unalenga kuhakikisha upatikanaji wa umeme wa uhakika na kuwaunganishia wananchi kwenye huduma za nishati zinazotekelezwa. Mpango huo pia, unalenga kukuza mchango wa nishati jadidifu na kuongeza ushiriki wa…

Read More

‘Malalamiko ya umeme, huduma za afya yashughulikiwe’

Unguja. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa, amezitaka wizara nne kushughulikia malalamiko ya wananchi kuhusu urasimu wa kuunganishiwa umeme na huduma duni za afya katika Hospitali ya Wilaya ya Micheweni. Wizara zilizotakiwa kuchukua hatua ni wizara ya Afya, Maji, Nishati na Madini Zanzibar. Dk Dimwa ameagiza kuwa ndani…

Read More

Dk Mpango: Afrika iimarishe umoja kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

Unguja. Nchi za Afrika zimesisitizwa kuimarisha umoja ili kusukuma mbele ajenda ya pamoja katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Pamoja na kuimarisha uwezo wa kutafuta rasilimali za ndani, pia zimetakiwa kuacha kutegemea ufadhili kutoka mataifa makubwa, huku zikiendelea kuathiriwa na athari za mabadiliko hayo. Hayo yameelezwa leo Jumatatu Aprili 28, 2025 katika mkutano…

Read More

Mageuzi mapya kwa ushirika | Mwananchi

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuimarishwa kwa ushirika na matumizi ya Tehama katika uendeshaji wake, ndizo nyenzo zitakazowezesha ukuaji wa sekta hiyo iliyopitia milima na mabonde. Amesema kwa kipindi cha miaka zaidi ya 20 nyuma, sekta hiyo haikuwa ikifanya vizuri, naye akiwa miongoni mwa waliokuwa wanaichukia. Katika kufanikisha uimarishwaji wa ushirika, mkuu…

Read More