Airtel Spam Alert-Kataa Matapeli, Kuongeza Usalama wa Wateja dhidi ya Matapeli wa Simu

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, akizindua huduma huduma maalum ya kutoa taarifa kuhusu utapeli kupitia teknolojia ya Akili Mnemba, uzinduzi huo umefanyika jijini Dar Es Salaam leo Aprili 28, 2025. Baadhi ya wadau mbalimbali wa mawasiliano waliohudhuria uzinduzi wa huduma huduma maalum ya kutoa taarifa kuhusu utapeli kupitia teknolojia ya Akili…

Read More

MAPEPELE AMKABIDHI KIJITI OSEA.

…………… Na Sixmund Begashe Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nteghenjwa Osea amekabidhiwa rasmi ofisi na aliekuwa Mkuu wa Kitengo hicho Bw. John Mapepele ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI, ili kuendelea kuwatumiaka…

Read More

Ubalozi wa Uswisi Tanzania Kukuza Uwekezaji na Ubunifu kupitia Kongamano la TIIF 2025

Balozi wa Usisi Nchini Tanzania, Didier Chassot akizungumza wakati wa ufunguzi wa kongamano lililokusanya wawekezaji wa Kimataifa wa Uswisi nchini Tanzania. Kongamano hilo limefunguliwa leo Aprili 28, 2025 jijini Dar es Salaam. KWA zaidi ya miongo mitatu, Tanzania imekuwa ikiimarisha mazingira yake ya biashara kupitia mageuzi ya kiuchumi na sera za kuvutia uwekezaji, ikiwa ni…

Read More

Simba kuzoa mabilioni fainali Shirikisho Afrika

Simba imeandika rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kutinga mara nyingi fainali za mashindano ya klabu Afrika baada ya jana, Aprili 28 kufuzu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kutoka sare ugenini dhidi ya Stellenbosch huko Afrika Kusini na kwa kutinga hatua hiyo ina uhakika wa kupata fedha za maana kutoka…

Read More