Kibano kwa wageni leseni ndogo za madini
Baada ya malalamiko ya muda mrefu, Serikali kupitia Wizara ya Madini imetunga kanuni za msaada wa kiufundi katika leseni ndogo za uchimbaji wa madini, ambapo zitaratibu ushiriki wa wageni katika leseni ndogo za uchimbaji wa madini (PML). Kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya Madini sura ya 123, kimezitamka PML kuwa ni maalumu…