Kocha Al Nassr ampa u-MVP Clara Luvanga
KOCHA Mkuu wa Al Nassr ya wanawake, Aziz Alalwni amemtaja nyota wa kimataifa wa Tanzania, Clara Luvanga ndio mchezaji anayestahili tuzo ya mchezaji bora wa mwaka.
KOCHA Mkuu wa Al Nassr ya wanawake, Aziz Alalwni amemtaja nyota wa kimataifa wa Tanzania, Clara Luvanga ndio mchezaji anayestahili tuzo ya mchezaji bora wa mwaka.
KMC iliyopo nafasi ya 11 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara imetangaza kupeleka mechi yao ya marudiano dhidi ya Simba mjini Tabora, huku mabosi wa klabu huyo kupitia Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Daniel Mwakasungula wametoa ufafanuzi wa sababu ya kufanya hivyo.
TIMU ya taifa ya wanawake ya Futsal, leo Jumatatu itashuka Uwanja wa Sportif Prince Moulay Abdallah, huko Morocco kukipiga dhidi ya Cameroon katika mchezo wa nusu fainali ya mashindano ya mchezo huo kuwania Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake. Tanzania ilitinga nusu fainali kwa kumaliza kinara wa Kundi C baada ya mechi mbili kuvuna…
YANGA juzi usiku ilianza vyema michuano ya Kombe la Muungano kwa kuing’oa KVZ kwa mabao 2-0 na kuungana na Azam FC iliyofuzu mapema kwa kuiondosha KMKM na sasa wanaviziana kuhamishia vita ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba iwapo zitavuka mechi za nusu fainali. Mabao mawili ya kila kipindi yaliyowekwa kimiani na Stephane…
DABI ya wanawake kati ya Simba Queens na JKT Queens imesogezwa mbele kutoka April 29 hadi Mei 07 kupisha mashindano ya timu ya taifa ya Futsal. Maboresho hayo ya ratiba ya Ligi Kuu Wanawake yametolewa hivi karibuni na Shirikisho la Soka nchini (TFF) kufuatia mrundikano wa ratiba ya mashindano ya CAF. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na…
Dar es Salaam. Ulinzi umeendelea kuimarishwa na Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuzunguka makutano yote yanayoingilia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam ambako kuna kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Katika kesi hiyo inayosikilizwa leo, waandishi wa habari wamepigwa marufuku kusogea mahakamani hapo. Katika eneo hilo…
Zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuadhimishwa Siku ya Wafanyakazi Duniani, maarufu Mei mosi, watumishi wa umma na wa sekta binafsi wanatamani kusikia mambo matano kuhusu kuboresha masilahi.
Dar es Salaam. Kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu leo Jumatatu, Aprili 28, 2025 itaendelea kuunguruma, ambapo mawakili wa pande zote wanatarajiwa kuchuana vikali kwa hoja, kuhusu kuendeshwa kwa njia ya mtandao. Kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Godfrey Mhini, katika Mahakama…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akikata utepe kuashiria uzinduzi wa wa Maonesho ya 73 ya Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) yanayofanyika jijini Arusha. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mipango, Usanifu na Uthamini kutoka Mamlaka ya…
Katika hatua kubwa ya kihistoria, ALC Lubricants, kampuni ya Kitanzania maarufu kwa vilainishi vya injini kupitia brand yake ya Flying Horse, imeandika historia kwa kuwa kampuni ya kwanza kutoka Tanzania kushiriki katika mashindano ya magari nchini China. Tukio hili la kipekee limetokea kupitia ushirikiano madhubuti kati ya ALC Lubricants na TERZO, mojawapo ya majina…