Katibu Mkuu Uchukuzi atembelea Banda la TCAA
Katibu Mkuu Uchukuzi atembelea Banda la TCAA Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) inashiriki katika Maonesho ya 73 ya Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) na imepata fursa ya kutembelewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara. Maonyesho hayo yanafanyika katika viwanja vya Mount Meru Hotel, yanayofanyika sambamba…