Wahitimu wetu wana mawazo mbadala?
Katika nchi yetu jitihada za kuboresha mfumo wa elimu zinaendelea na wengi wetu tunatoa maoni yetu kwa njia mbalimbali. Ni sahihi kwamba tumeanza kufanya mabadiliko kiasi fulani na hii ni hatua nzuri. Leo nataka kufanya tafakuri kuhusu uwezo wa wahitimu wetu kutambua na kuheshimu mawazo tofauti ya watu wengine. Je, wahitimu wetu wanathamini mawazo mbadala?…