KAWAIDA AIPONGEZA SERIKALI UJENZI MRADI MKUBWA WA MAJI CHATO*
Kulia ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammad Kawaida akisalimiana na Mkurugenzi wa Chawassa Ing. Isack Mgeni (kulia) ………… Na Daniel Limbe,Chato MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Alli Kawaida, ameipongeza serikali kwa utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji safi na salama utakao kuwa na uwezo wa kuhudumia zaidi ya…