RC Singida aipongeza GGML kwa kuzingatia usawa wa kijinsia
Sehemu ya wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa Geita Gold Mining Limited (GGML) wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya banda lao wakati wa Maonesho ya Wiki ya Usalama na Afya Mahali Pa Kazi Duniani yanayoendelea Kitaifa mkoani Singida MKUU wa Mkoa wa Singida( RC) Mheshimiwa Halima Dendego ameisifu kampuni ya kuchimba dhahabu ya Geita…